Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio.
Naibu Katibu Mkuu Mh Benson Kigaila aliongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani.