Mwaka 2000 Sony walitoa utabiri wa Ps9 itakavyokuwa mwaka 2078
Sijui mwaka 2000 ulikua wapi ? Na umri Gani ? Lakini mnamo mwaka 2000 Sony waliweza kutoa Tangazo la biashara la kushangaza ambalo linaloonyesha jinsi Playstation itavyokuwa miaka ijayo.
Inasemekana mpaka kufikia mwaka 2078...
Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi,
Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
Habari wakuu.
Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#)
JE NIFANYEJE?
Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei katika maduka yao itaanza kwa $699 tu, hiyo ikiwa ni version isiyo support disc...
Wakuu, hoping mko salama.
Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi.
Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu.
Specs
1. Resolution iwe na 1080x2400 au zaidi
2. RAM 6 au above storage 128.
3. Battery 4000 au above
4. Dual simu (ikiwa na esim)...
Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha...
Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K.
niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!!
ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
Timu ya Rapa #AKA kwa kushirikiana na Kampuni za Kusimamia Kazi za Sanaa Sony Music Entertainment na The T Effect zimepata baraka za familia ya #JarrydForbes kuachia albam kama alivyopanga mwenyewe.
Mkurugenzi Mtendaji wa #SonyMusicAfrica, Sean Watson amesema “Mioyo yetu imevunjika, tumepoteza...
Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa sinema bali sasa surround sound technology kujumlisha na video za 3D imewezesha mtu ‘kupelekwa kwenye...
Sony PlayStation 3 (PS3) inauzwa.
Imetumika kwa mwezi mmoja (1)
*Ina HDD yenye 250 GB.
*Inakuja na padi mbili (2)
*Inakuja na waya wa power, waya wa HDMI na nyaya mbili (2) za kuchajia padi.
*Ina games tisa (9) ndani: AC: Black flag, AC: Rogue, Metal Gear Solid, Tomb rider, Injustice, Blur, PES...
Sony Playstation 3 inauzwa. Imetumika kwa muda wa miezi minne tu.
->HAINA TATIZO(KIPENGELE) chochote
->Imechipiwa na ina game zaidi ya 6 ndani.
->Nakupa na padi mbili, waya wa kuchajia padi na waya wa power.
->Bei: 280,000/-
Kwa mawasiliano nicheki, simu/WhatsApp: +255 688 841884
Wakuu Mambo.
Nataka kununua kati ya Home Theater ya Sony DAV TZ 140 5.1 au Sound Bar ya Hisense HS 281 2.1
Zote mbili bei zinafanana approximately Tsh 450,000/= kila moja.
Sony Home Theatre hiyo hapo, Wat 320. Nimeona haina Bluetooth connectivity sijui itafaa?
Na Hapa chini ni Hisense...
Hivi mnaonaje kuhusu huyu mwamba Young Lunya kusainiwa Sony music Africa kunaweza kuwa na faida kwake au ndo amepoteza maana kwa kumbukumbu za haraka haraka ni kwamba wasanii wengi wa Tanzania walio sainiwa na label hiyo wengi wamepotea mfano
Baraka da prince,
Vanessa Mdee,
Ommy Dimopzi...
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsung
samsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.