sony

  1. I

    Natafuta SCREEN ya camera SONY 720p

    Ndugu zanguni heshima kwenu! Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu kwenye kioo yaani kioo hakionyeshi kitu giza tu, na fundi ameshindwa kuunganisha, akanishauri ninunue...
  2. Ramon Abbas

    TV4Sale TV chogo nch 30 kwa elfu 50 tu brand sony

    Inapiga kazi kama kawaida. Iwahi mapema nataka pesa ya haraka nipo Kigamboni 0683011003
  3. EJOSMAT

    INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

    Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267 664
  4. N

    Msaada: Radio Sony genezi mhc-gtr55 inasoma "please wait" au "reading" tu nikiweka flash drive. Nini tatizo wakuu?

    Habari wakuu, Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea. Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima. Tatizo laweza kuwa nini...
  5. Lububi

    Ushauri kuhusu sony home theatre dz950

    Asalaam aleikum. Najivunia jf lakin najivunia zaidi watanzania wana moyo wa kutoa ushauri inapobidi. Mambo ya mind your own bussiness si utamaduni wetu. Nimenufaika mno na ushauri ninaopataga jf. Leo naomba ushauri wa kitaalam na kimazoea ukitaka kununua home theatre ya sony dz 950. Je kuna...
  6. Tomaa Mireni

    INAUZWA Vitu vya ndani, Sony Hi-Fi music, Samsung TV bei ya January

    Sony MHC-RG310 bei yake 350,000 Samsung TV nchi 32 bei 350,000 Kitanda cha chuma na godoro lake 400,000 godoro nchi 8 Vyote tuchekiane 0685008131
  7. ECPENDABLE

    Wataalam waliowahi kutumia home theatre system SONY WATT 300 wanipe ubora wake in performance au miyeyesho nakaribisha majibu

    Wakuu, msaada kwa ambae amewahi kutumia Sony home theater Watt 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer nakaribisha majibu.
Back
Top Bottom