Makabidhiano yamefanyika Lumumba.
Hongera shaka kwa kukabidhi ofisi kwa amani, zinazofuata ni picha za makabidhiano ya ofisi.
Hapo ndugu Shaka akitabasamu kwa bashasha bila tashwishwi.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa.
CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini.
Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu
Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla.
===
Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kimemteua Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema kuchukua ya Shaka Hamdu Shaka
Mkuu wa Wilaya ya...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amesema katika Mkoa wa Shinyanga bado kuna tatizo la ukosefu wa huduma ya umeme wa uhakika hasa katika maeneo ya viwanda na migodi hali inayosababisha baadhi ya viwanda kushindwa kufanya kazi na wengine kuzalisha bidhaa kwa zamu sababu umeme...
Ni Dada ( Mama ) ambaye kuanzia ndani ya Chama Tawala (CCM) alikuwa amepikwa vyema ila alipokuwa DC wa Ilala kila alipotakiwa Kupandishwa kuwa Mkiu wa Mkoa kuna Mtu Mmoja (sasa amenyamaza sana) japo huko nyuma alikuwa ndiyo kila Kitu Tanzania alikuwa akimfitinisha kwa Baba yake wa Hiari na...
Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.