Habari wakubwa. Nauza Mziki wa Club, Used 5 years, Umetumika kwenye Club Nauza full kama ulivyo kila kitu chake. Bei sawa na bure.
Unafaa wamiliki wa Bar, Club, au wapiga sherehe au hata kwaajili ya majukwaa.
CLUB MUSIC SOUND
MILIONI 25,000,000 tu.
Milioni 25.
Bei inaongeleka kidogo.
Inakuja...