Vifo vya polisi vimefuatana jamani! huyu ni watatu kifo chake ni cha ajali ya kugongwa na pikipiki
Pia namuonea huruma sana huyo dereva boda maana anakesi kubwa ya kujibu Mungu amsaidie tu
================
Mkufunzi wa Shule ya Polisi Moshi (TPS), SP Emmanuel Eliuta, maarufu Mtatifikolo...