space

  1. peno hasegawa

    Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

    Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
  2. Chillah

    Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

    Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao FaizaFoxy USSR Maghayo instanbul Pascal Mayalla Mshana Jr OKW BOBAN SUNZU FRANCIS DA DON Msanii Mpwayungu Village Bufa Kaka yake shetani UMUGHAKA ChoiceVariable
  3. BARD AI

    Unaweza kulipa Tsh. Bilioni 1 ili kufanya Utalii Anga la Juu (Space) kwa dakika 90 tu?

    Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja. Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...
  4. Roving Journalist

    Safeguarding Civic Space while countering the financing of Terrorism

    The international community has made the fight against money laundering and the financing of terrorism a priority. Among the goals of this effort are: protecting the integrity and stability of the international financial system, cutting off the resources available to terrorists, and making it...
  5. J

    MJADALA: Jamii ina Uelewa Juu ya Ugonjwa wa Lupus?

    Je, unaufahamu Ugonjwa wa Lupus, Dalili na jinsi ya kushughulikia nao? Je, unafahamu 90% ya Wagonjwa wa Lupus Duniani ni Wanawake? Kumekuwa na Uzushi kuwa watu wenye Ugonjwa wa Lupus hawawezi kuishi muda mrefu. Mtu mwenye Ugonjwa wa Lupus anaweza kuishi umri mrefu kama watu wengine iwapo...
  6. Chizi Maarifa

    Moja ya Masharti waliyopewa ni Kutojumuika tena Maria Space kuponda

    1. Lema 2. Mbowe 3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu. Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang. Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi...
  7. Analogia Malenga

    Twitter Space yafutwa

    Katika hali ya kustaajabisha, mtandao wa Twitter ambao kwa sasa unamilikiwa na Elon Musk umefuta huduma ya mijadala ya sauti maarufu kama Twitter Spaces. Kazi iendelee
  8. fredyyboy

    Wapenzi wa movie za science (space, technology)tukutane hapa

    Nimekuwa mlevi wa movie za Aina hii Science) kama vile space movie nazikubali sana Bila shaka sipo mwenyewe dondosha movie lako Kali la Aina hii hapa.
  9. Mr Pixel3a

    Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...
  10. Artifact Collector

    Artificial ozone layer ndiyo suluhisho kwa space exploration na colonization

    OZONE LAYER Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama Mars, Mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndiyo ambayo inafanya maisha yanawezekana. KAZI ZA OZONE LAYER Kuzuia solar radiation. Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar...
  11. Introvert100

    Space and Time

    Wakuu Adam hapa.. Nawasalimu kwa jina la JF! #Tozo na Makato ni Maendeleo ya Chama. Pamoja.
  12. U

    Natafuta ofisi ya kupangisha - Dodoma

    Habari Natafuta sehemu kwa ajili ya kufungua offisi Dodoma. - Offisi hio iwe mjini Dodoma au karibu na mjini kabisa Sehemu tulivu Offisi iwe near karibu na public transport itapendeza sana ikiwa kwenye haya majengo marefu - Budget ni 450k kwa mwezi Kwa yoyote ambaye anaweza kusaidia...
  13. Masokotz

    Je, unafahamu kuhusu HUBS na COWORKING space?

    Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space Je, unafahamu ni nini? Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi zako katika mazingira tulivu na kupata huduma za ziada kama vile internet na pai fursa ya kufanya...
  14. S

    SMZ na uchukuaji wa maeneo ya wazi (Open Space)

    Kwa heshima kabisa naomba kuleta malalamiko yetu katika jukwaa hili kubwa la Jf. Hivi sasa kisiwani Unguja kumekua na kasi kubwa ya ujenzi wa Majengo mbali mbali. Ni jambo la heri na jambo la kupongezwa na kwa hakika tunamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu . Jambo lilonifanya kuleta bandiko...
  15. Sky Eclat

    Club House na Space ndiyo vijiwe vya sasa hivi

    Club House na Space ni social media rooms zinazoruhusu majadiliiano ya wazi. Hivi karibuni zimetumika sana na wana siasa kuongelea hali ya siasa za Tanzania. Faida mojawapo ya social media ni kuunganisha watu walio sehemu mabali mbali za dunia. Kuna kijana graduate nilikutana nae, aliniambia...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

    Mimi nauliza kwenye kituo cha anga huko juu na wao pia wana usiku na mchana na wanatumia saa kama huku duniani? Maana wanakua wametoka kwenye mfumo wa dunia wa kuzunguruka kupata usiku na mchana. Nasubiri maarifa yenu wana jamvi kuu, JamiiForums, kisima cha maarifa
  17. Mandown

    James Webb telescope, a cutting edge technology telescope to scan deep in space and bring images of events 13 billion years ago

    December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali na kutupa data za anga za Mbali kuona matukia ya Miaka 13 Billion iliyo pita. Ina onesha kama upuuzi...
  18. B

    Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20

    Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20. Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio. Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno: "Kwa uhakika...
  19. B

    Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali. Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili...
  20. NairobiWalker

    Africa from space at night.

Back
Top Bottom