spare

  1. Motor ya mlango na cable yake Noah voxy 2006

    Wakuu mambo vipi Na uhitaji wa spare Motor ya mlango wa kushoto na na cable yake Noah voxy nitashukuru sana
  2. Nanunua Laptop mbovu kama spare

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa, bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  3. Machine and Earth moving machine Spare parts Available.

    Habar wakuu? Ninauza na Kusupply spare za generator , Air compressor and Earth moving machine. Upande wa generator nna spare za 1. Perkins engine 2. Yanmar engjne 3. Deutz Enigine 4. Mitsubish Engine 5. Volvo Engine 6. Lister peter Engine 6. Wechai engine 7. Ricardo engine 8. Catpiller engine...
  4. YUEAO MOTORCYLE SPARE PARTS

    Ni wauzaji wa Vipuri vya pikipiki kwa aina zote, Zikiwemo Pikipiki za 1) Boxer Bm150, 2) BMX125 3) BMX150, 4) BM125HD, 5) BAJAJ 100 Pia Tunazo Spare Za Kichina kama 1) SANLG 125 2) SANLG 150 3) FEKON 125 4)FEKON 150 5) HOUJUE 125 6) HOUJUE...
  5. Maningi International: Waingizaji na wasambazaji wa spare parts za magari Tanzania

    Tunapatikana Dar es Salaam, Kariakoo, Kisutu, Mbezi ya Magufuli na Manzese. Mikoani na nchi jirani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana. Kwa mawasliano zaidi piga 0714528887 au tembelea website yetu. Karibuni sana
  6. Wapi naweza kupata hii spare?

    Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
  7. Tunanunua Laptop mbovu kama spare

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano. Ilala Dsm 0767953873
  8. W

    Car4Sale TUNAUZA SPARE PARTS ZA AINA YOYOTE ZA MAGARI MAKUBWA

    Karibu katika kampuni yetu Bora ya hanlink engineering subsidiary co.ltd.dar es salaam Tunazo spare parts zote za magari makubwa mfano howo, FAW, nk. Tunauza kwa Bei nzuri na huduma yetu ni ya uhakika 📍Tunapatikana Vingunguti-Karakana 📞Mawasiliano 0748270719 #HANLINK TUPO KWA AJILI YA...
  9. R

    Spare za Nissan Serena

    Nitapata wapi spare used za Nissan Serena au written off gari aina hiyo ambayo mtu anauza spares
  10. Ninauza Spare used (vipuri) za magari mbali mbali, hata ukiwa mkoani nakutumia

    Kumekuwa na mjadala watu wa magari hupenda kuuzungumzia kuhusu iwapo mtu ana hitaji la kununua spare, je ni bora kwenda dukani kununua mpya kwenye box, ama ni bora ukanunua used iliyofunguliwa kwenye gari? Kwanza kabisa tunatakiwa kujua haya makampuni ya magari hutengeneza vipi magari yao.(mf...
  11. Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  12. B

    INAUZWA Nauza spare za baiskeli

    Tunauza spare za pikipiki aina ya boxer original na HERO kwa jumla na rejareja Bei zetu ni nafuu Sana na tunatuma mikoani pia. Kwa mawasiliano tupigie 0782197274
  13. K

    Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  14. Natafuta Duka la Spare orijino za Mitsubishi Pajero

    Wakuu ni wapi hapa Dar nitapa duka linalouza spare orijino za Mitusbishi? Km unafahamu nipatie mawasiliano wakuu
  15. R

    Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

    Listen please Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo. Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo " Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"...
  16. W

    Howo Truck used pamoja na spare parts zote za Howo

    Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo. Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa. Mawasiliano: 0748270719 Karibu sana
  17. Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari?

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  18. Mwenye uzefu wa Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari tuelezee kiundani juu ya biashara hizi

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  19. Spare parts za powertillar aina ya KUBOTA

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavojieleza sisi wakulima msimu unakaribia ni muda wa kuandaa mashamba sasa kuna spare za powertillar nimezitafuta bila mafanikio anayejua supplier wa spare za Powertillar aina ya KUBOTA anisaidie.
  20. Msaada wale mliowahi kuagiza/mnaoagiza spare parts Dubai na Kenya.

    Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai. Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo. Kwa Dubai., 1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani? 2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga? Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…