spare

  1. Ramon Abbas

    Natafuta spare ya Lexus

    " Ninahitaji front ball joints za upande wa kushoto na kulia. Gari langu ni 1998 Toyota lexus gs 300 au 1998 Toyota aristo" Location: Dar
  2. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  3. Masterkratos

    Anaejua bei ya spare za forester SG5

    Anaejua bei (used) ya back bumper Taa za nyuma na Boot nzima ya subaru forester sg5 (2003) naomba anijuze.
  4. D

    Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

    Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA...
  5. C

    Wapendwa nisaidie nitapata wapi hii spare ya gari

    Jamani natafuta air mass sensor ya Nisan serena make ya 1997. Nitapata wapi au mwenye nayo tuwasiliane inbox tuyajenge. Air flow sensor for NISSAN SERENA (C23M) 1992–2001 2.0 16V, Petrol SR20DE , 93kW Change vehicle Results found: 1 Air Mass Sensor Denso DMA-0214 Item code: AL604740...
  6. Nova Co Ltd

    Wanajamvi tunaomiliki gari tukutane hapa kwa kuuziwa spare

    Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada. Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana nayo, katika mihangaiko yangu nilifanikisha kukutana na kijana wa kitanzania aliye fanikiwa kubuni...
  7. Lagrange

    Naulizia Machimbo ya Spare Parts za Pikipiki Kariakoo

    Habari ya wakti huu wakuu, Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN. Asante.
  8. kidadari

    Makampuni ya Magari hutengeneza Engine/Gear box mpya kama spare?

    Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
  9. Nafaka

    iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

    Nimeona review simu hizi mpya za iPhone 12 kuwa hata ukichukua kioo ukakibadiisha ukakiweka kwenye simu nyingine kama hiyo hiyo, kwanza ukiiwasha haitowaka unless uiwashe kwa kuplug in charger. Ikishawaka itakuletea msg kuwa umeweka kifaa ambacho siyo cha simu hiyo, face id haitofanya kazi na...
  10. vipik2

    Natafuta duka la Toyota Spare kwa Dar

    Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
  11. K

    Unanifanya Tairi spea nimenyamaza, nimekufanya emergency exit mbona makelele?

    Habarini wandugu. Kuna tabia inazidi kushika kasi katika jamii zetu na usipokuwa mwangalifu utajikuta unaumizwa kila kukicha. Ingawa imeshamiri sana kwenye mahusiano ya kimapenzi (wengine huita kuwekana friend zone), lakini iko sana hata kwenye mahusiano ya kijamii tuu, kwa ndugu, jamaa na...
  12. masai dada

    Mwenye duka la spare za pikipiki/bajaji/toyo

    Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
  13. FUJISTU

    Natafuta Exhaust System ya Honda CR-V 1998

    Wakuu natafuta exhaust system ya Honda CR-V 1998 ikiwa complete, front, centre and Rear muffler pamoja na catalyst converter yake, anayeweza nielekeza pa kuipata hata kwa contacts nitashukuru sana.
Back
Top Bottom