Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada.
Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana nayo, katika mihangaiko yangu nilifanikisha kukutana na kijana wa kitanzania aliye fanikiwa kubuni...