Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani.
Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa kama suala la kawaida mitaani kila sehemu.
Mpaka viumbe wa majini kama samaki, vyura na wengine...