Habari zenu wakuu
Ni model ipi ya Toyota Harrier inajitahidi kwenye ulaji wa mafuta, haina matatizo mengi ya kwenda gereji kila mara, mafundi wapo wengi na vipuri ni rahisi kupata
Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani.
Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa kama suala la kawaida mitaani kila sehemu.
Mpaka viumbe wa majini kama samaki, vyura na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.