😁Toyota Harrier MX ina sifa zote ulizotaja na zaidi nachoipendea inakula mafuta kidogo sana na ina speed kubwa na engine yake haina kelele ni smooth na uzuri ni kwamba hii gari mpaka sasa haipo kiwandani wala uraini na hakuna mpango wa kuitengeneza na wala hawana hiyo idea, chakukushauri tafuta pesa chukua gari iliyopo mbele ya macho yako
Daaaah aiseee nimecheka kinomaToyota Harrier MX ina sifa zote ulizotaja na zaidi nachoipendea inakula mafuta kidogo sana na ina speed kubwa na engine yake haina kelele ni smooth na uzuri ni kwamba hii gari mpaka sasa haipo kiwandani wala uraini na hakuna mpango wa kuitengeneza na wala hawana hiyo idea, chakukushauri tafuta pesa chukua gari iliyopo mbele ya macho yako
Jibu zuri sana 👏👏👏Toyota Harrier MX ina sifa zote ulizotaja na zaidi nachoipendea inakula mafuta kidogo sana na ina speed kubwa na engine yake haina kelele ni smooth na uzuri ni kwamba hii gari mpaka sasa haipo kiwandani wala uraini na hakuna mpango wa kuitengeneza na wala hawana hiyo idea, chakukushauri tafuta pesa chukua gari iliyopo mbele ya macho yako
HahahahToyota Harrier MX ina sifa zote ulizotaja na zaidi nachoipendea inakula mafuta kidogo sana na ina speed kubwa na engine yake haina kelele ni smooth na uzuri ni kwamba hii gari mpaka sasa haipo kiwandani wala uraini na hakuna mpango wa kuitengeneza na wala hawana hiyo idea, chakukushauri tafuta pesa chukua gari iliyopo mbele ya macho yako
Endelea kukata uziHabari zenu wakuu
Ni model ipi ya Toyota Harrier inajitahidi kwenye ulaji wa mafuta, haina matatizo mengi ya kwenda gereji kila mara, mafundi wapo wengi na vipuri ni rahisi kupata
hahahah! Mkuu umenivunja mbavu balaa.Toyota Harrier MX ina sifa zote ulizotaja na zaidi nachoipendea inakula mafuta kidogo sana na ina speed kubwa na engine yake haina kelele ni smooth na uzuri ni kwamba hii gari mpaka sasa haipo kiwandani wala uraini na hakuna mpango wa kuitengeneza na wala hawana hiyo idea, chakukushauri tafuta pesa chukua gari iliyopo mbele ya macho yako
Hilo toleo la tatu hybrid yake inapiga kilometers ngapi kwa lita?Harrier ina generation nne hadi sasa.
Ya kwanza (xu-10): Hii haina undugu kwenye mafuta. Engine 2.2L, 2.4L na 3.0L
Ya pili (xu-30): tako la nyani. Yale yale tu engine kubwa. 2.2L, 2.4L, 3.0L, 3.3L na 3.5L.
Ya Tatu (xu-60): anaconda. Engine ndogo 2.0L ukitaka hybrid 2.5L. Mkre efficient.
Ya nne (xu-80): hii latest. 2021 kuja juu. Mtaaninchache kinoma. cc2000 na 2500 hybrid na plugin hybrid.