special olympics

  1. JanguKamaJangu

    Special Olympics (wachezaji wenye ulemavu wa akili) Tanzania kushiriki UMITASHUMTA

    TIMU ya soka jumuishi kwa wachezaji wenye ulemavu wa akili Tanzania wanatarajia kuiwakilisha taasisi ya watu wenye ulemavu wa akili katika mashindano michezo kwa shule za msingi Tanzania (UMITASHUMTA) inayoanza Juni 6-15 mwaka huu. Katika mashindano hayo yanayofanyika kwenye viwanja vya...
  2. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Mwinyi aitakia heri Timu ya Olimpiki Maalum

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ameitakia kila la heri Timu ya Olimpiki Maalumu itakayoshiriki Mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum (Special Olympics World Games) nchini Ujerumani. Mhe. Mwinyi amekutana na timu hiyo leo Juni 17, 2023 Jijini...
Back
Top Bottom