spika ndugai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Spika Ndugai utakumbukwa kwa lipi?

    Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
  2. Mahakama imeamua kutuona watanzania hatuna ufahamu?

    Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge. Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali kwa sababu barua iliandikwa kwenda kwa katibu wa bunge na nakala kwa katibu wa CCM. Kuna nini...
  3. Jenerali Ulimwengu: Spika Ndugai alikuwa mnafiki

    Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai. Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu. Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya. Na yuko spot on. Wengine na wasikie...
  4. Kama umeangalia kwa Umakini 'Picha' ya Leo ya Spika Ndugai na 'Her Excellence' Ikulu 'Dom' kwa Jicho la 'Saikolojia: utagundua tu yafuatayo

    1. Katumia Nguvu Kubwa sana ma Juhudi nyingi mno Kuomba kwenda Ikulu Dodoma leo na yawezekana asingepata nafasi hii Presha yake ingepanda na kuanzia Usiku huu au Kesho 'abbreviations' za R.I.P zingeanza Kutawala Kwake kila ukimuita, ukimtaja Hewani. 2. Tokea alipojiuzuru ana Huzuni Moyoni ya...
  5. Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa "kujiuzuru kwa kulazimishwa" yuko entitled kupata mafao yafuatayo; 1. Kiinua Mgongo [Gratuity] cha 50%...
  6. JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

  7. Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  8. K

    Mwanasheria: Barua ya Job Ndugai kujiuzulu Uspika ni batili kwa mujibu wa Katiba

    Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
  9. Tanzania ingekuwa na 'Strong Media' Kauli ya Spika Ndugai ingeeleweka vyema kwa 'Public' ila tuna 'Rotten Media' yenye 'Kujikomba' kwa Rais

    Kama ni Rais huyu huyu Samia Suluhu Hassan alishasema katika moja ya Hotuba yake Kubwa kuwa Watanzania tusiache na wala tusiogope Kumkosoa leo hii Spika Ndugai nae katoa Maoni yake kwanini aandamwe na aonekane Mkosaji Mkuu? Moja ya Kazi Kuu ya Media inayojitambua ( Siti hii yetu ya Waswahili )...
  10. Serikali tunaomba mtuambie je, na huku Kuadimika kwa 'Soft Drinks' nchini kumesababishwa pia na Kauli ya Spika Ndugai au?

    Katika Gazeti la Leo la The CITIZEN ukurasa wa Nne ( 4 ) nanyi ( Serikali ) mmekiri 'Kuadimika' Kwake na mmeahidi Kufanya Uchunguzi wa kwanini hivyo tunaomba majibu yenu ya haraka ili Wanywaji wa Soda na tusio Walevi wa Bia na Mvinyo tujue tafadhali.
  11. Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  12. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  13. Mbunge Livingstone Lusinde amtaka Spika Ndugai ajiuzulu, asema hata ombi lake la msamaha lilikuwa la uongo

    Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya Job Ndugai na hakuna sehemu iliyounganishwa ili kumchonganisha na Rais kama yeye (Ndugai) alivyosema...
  14. Spika Ndugai: Kutoka 'kuua' upinzani Bungeni hadi kuwa 'mpinzani' Bungeni

    Maisha hayatabiriki. Maisha yana mambo mengi ya ajabu na yenye kutoa majibu. Maisha yanakwenda kasi sana. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamemfika. Yamemkuta na amefikishwa kwenye ukuta. 'Ameropoka'; akajitetea, akaomba radhi lakini...
  15. D

    Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa! Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake! Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa! Utawasikia wakisema haya! 1. Inchi imepoteza...
  16. U

    Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  17. Ni wakati wa kupata Katiba Mpya itayolinda na kutetea maslahi ya Umma. Hajabagazwa Spika Ndugai bali Watanzania wamebagazwa

    Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa. Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive...
  18. Spika Ndugai, ili kujenga heshima jiuzulu Uspika wa Bunge

    Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika. Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili...
  19. Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma. NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI...
  20. Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…