Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
"Tusimuache Mama Peke yake"
Kauli hii imetolewa na Spika wa Bunge Mhe. Ndugai leo hii Bungeni wakati akithibitisha adhabu ya Mbuge wa Kawe na Ukonga.
kauli hiyo ameitoa kwa hisia kali huku akimnyooshea kidole Waziri wa Mambo ya ndani kuchelea au kusita kuchukua hatua ama kukemea viashiria vya...
Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu!
Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu.
Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
Habari!
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote.
Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"
Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza.
"Mama Makinda amekaa humu Bungeni takribani miaka 40 hii rekodi siyo rahisi na yeye...
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi.
"Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
Ikiwa Viongozi Wakuu na baadhi ya waheshimiwa wakiugua hakuna taarifa yoyote ya Spika kutolewa kwa wananchi.
Je, kuna sheria gani au ulazima gani wakutambulishana ME/KE wa mheshimiwa Fulani.
Mheshimiwa akifa taarifa na kuahirisha vikao.
Akiwa anaumwa siri ya familia huku mkijua nikiongozi wa...
Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba ilitolewa nawe Spika Job Ndugai. Ni baada ya kuombwa muongozo na Mbunge Ameir akidai kuwa mwanamama...
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio ambavyo havina msingi kuwa malori ya kampuni ya Dangote yanaharibu barabara za mikoa ya Lindi na Mtwara.
Amesema kinachotokea ni barabara hizo kujengwa chini ya kiwango, kwani ni jambo linalofahamika kwamba malori hayo...
Hodi wanajamvi,
Ambaye hajachoshwa na Ndugai anyoshe mkono ama afanye kama anajikuna tu ili tumuone hapa.
Sipika wetu Ni Kati ya watu wasioweza kusimama Kwenye msimamo mmoja.
Kipindi cha Hayati JPM kuhusu bandari ya Bagamoyo, alikaa kimya lakini Leo ndio mpiga Debe wa hiyo Bandari...
Nimemsikiliza Ndugai akilalamika juu ya ajira zilizotangazwa na hasa akijikita kwenye ajira za ualimu.
Malalamiko yake yako kwenye kamati yake ya bunge kwamba hawafuatilii hizi ajira na namna zinavyopatikana. Hili la ufuatiliaji wa kamati ya bunge ni sawa kabisa.
Ila alienda mbali zaidi na...
Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amepotosha umma mchana kweupe kudai ajira za ualimu zilizopita zilitolewa kwa misingi ya kikanda na ukabila kwa sababu ukiachilia mbali jina moja lililojirudia kila ukurasa, mchakato wa ajira zilizopita ulifanyika kwa haki...
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19.
Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live Wananchi hawafuatilii mijadala Bunge kama ilivyokuwa enzi Samwel Sitta au Anna Makinda.
Wabunge...
Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini.
Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja...
Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Chanzo: ITV habari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.