Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.
Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.
Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji...