Spika wa Bunge, Tulia Ackson ametoa onyo kwa Wabunge ambao hawafuati utaratibu wanapokuwa Bungeni ikiwemo kupiga kelele na kuzungukazunguka ndani ya Bunge pasipo kufuatilia kinachoendelea.
“Tufuate kanuni zetu na utaratibu humu ndani ikiwa pamoja na kanuni ya 73 inayozungumzia staha ndani ya...
MIMI KAZI YANGU NI MOJA TU - SPIKA TULIA AKSON
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Tulia Ackson Tulia Ackson amezungumza na wanaHabari kuhusu uamuzi wa kuwafukuza Bungeni Wabunge 19 wa CHADEMA Halima Mdee na wenzake. Amesema yeye anasubiri Maamuzi ya Mahakama.
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
aibu
barua
chadema
covid
covid 19
halima
halima mdee
hii
kesi
kufa
kufukuzwa
kuhusu
kujiuzulu
mahakama
mawakili
mawakili wa serikali
mdee
msaada
serikali
sheria
sikio
spikaspikatulia
tena
uanachama
ubunge
ufafanuzi
ukweli
wabunge
wabunge 19
wenzake
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC...
Natoa angalizo, Bunge kuwa live sisi tunafatilia hata kama ni la chama kimoja.
Najua Ili Bunge Kuna baadhi ya wabunge na baadhi ya mawaziri ni mizigo.
Mfano, mbunge wa Sengerema amekuliza swali zuri, nanukuuu!
"Mh Waziri Kuna ngedere wengi wapo kisiwa cha Juma wanavamia mpaka mashamba ya watu...
Spika wa bunge Dr Tulia amesema bunge linaanza mkutano wa bajeti wiki ijayo na wanategemea baada ya serikali kuwa imeingia Mikataba mingi ya kilimo ambayo imepitia bungeni basi Bajeti ya kilimo ndio itakuwa kubwa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.