spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

    Wanaukumbi. Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako. Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa...
  2. CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki. Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
  3. S

    Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

    Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na...
  4. Kama umeangalia kwa Umakini 'Picha' ya Leo ya Spika Ndugai na 'Her Excellence' Ikulu 'Dom' kwa Jicho la 'Saikolojia: utagundua tu yafuatayo

    1. Katumia Nguvu Kubwa sana ma Juhudi nyingi mno Kuomba kwenda Ikulu Dodoma leo na yawezekana asingepata nafasi hii Presha yake ingepanda na kuanzia Usiku huu au Kesho 'abbreviations' za R.I.P zingeanza Kutawala Kwake kila ukimuita, ukimtaja Hewani. 2. Tokea alipojiuzuru ana Huzuni Moyoni ya...
  5. Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  6. Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa "kujiuzuru kwa kulazimishwa" yuko entitled kupata mafao yafuatayo; 1. Kiinua Mgongo [Gratuity] cha 50%...
  7. Hoja na Haja za Dkt. Tulia kuwa Spika wa Bunge

    HOJA NA HAJA ZA MHE DKT TULIA KUWA SPIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Ndani ya Chama Cha Mapinduzi mbio za kumpata Spika baada ya aliyekuwa Spika Mhe Jobu Ndugai kutangaza kujiuzulu wiki iliyopita. Wapo Makada wa CCM ambao wamekwisha kuchukua fomu na wapo wanaotajwa kuwa wanataka kuchukua...
  8. Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  9. S

    Wapinzani tutulie na harakati zetu - ya nani spika hayatuhusu ndewe wala sikio ni lao hilo

    Naona wapiganaji maarufu huwa wanajikita katika mambo ya CCM, mpaka wafuasi tunapata khofu juu yao,inakuwaje hawa viongozi tunaowategemea wanaingilia mambo ya Chama Cha Mashetani (CCM), mpaka wanafikia kusema huyu anafaa huyu hafai, hivi inakuwaje? Huku uraiani tunashindwa kuwaelewa viongozi...
  10. Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

    Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote. Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo. Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na...
  11. Siioni nafasi ya Lukuvi au mwingine aliyeachwa kwenye Baraza la Mawaziri kuwa Spika wa Bunge

    Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa nafasi' ya maandalizi wenye nia na 2025. Ndiyo kusema, waliotarajiwa kuachwa na Rais Samia ni wale ambao...
  12. M

    Ushauri: Wabunge wamchague Spika asiyetokana na chama

    Kutokana na namna ambavyo imedhihirika kwamba sasa Spika hawezi kuwa na uhuru wa kuruhusu mijadala yenye afya kwa watanzania ndani ya bunge kwa hofu ya "kushughulikiwa" na chama (kwa vyama vyote) sasa ni muda muafaka kwa wabunge hasa wa CCM walio wengi bungeni kumpigia kura ya Ndiyo mgombea wa...
  13. R

    Fomu za Kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT

    Wakuu habari zenu. Samahani naomba kufahamishwa utaratibu wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya Spika iliyoachwa wazi na Job ndugai kupitia chama cha Mapinduzi - CCM upoje? Form zinaanza kutolewa lini , na je mtu yeyote anayejiona ana sifa na ni mwanachama wa CCM anaweza kugombea ...
  14. J

    Shaka Hamdu Shaka: Kuanzia tarehe 10|01|2022 anayetaka kuwa Spika wa JMT kupitia CCM ruksa kuchukua fomu

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT, Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge...
  15. JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

  16. Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

    Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai. Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...
  17. Naomba kufahamishwa bajeti ya Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

    Waungwana habari zenu. Hapo mwishoni mwa mwaka 2021 na mwanzo wa 2022 nchi yetu imepita kwenye sekeseke la mvurugano wa mihimili mikuu miwili ya nchi yetu ambapo Bunge kwa kupitia Spika limeonekana kumshambulia Rais ambaye ni Executive kutokana na yanayodaiwa kwamba hatupaswi kukopa pesa ingali...
  18. B

    Mbatia, Ndugai atafika mbele ya Bunge Februari kujiuzulu, ameanza kujiuzulu dhamana aliyokabidhiwa na chama kwa sababu hiki siyo kipindi cha Bunge

    Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo...
  19. Tumpongeze Rais Samia kwa hili la Ndugai, Spika aliyejiuzulu

    Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri. Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani...
  20. Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

    Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…