spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  2. The Bleiz

    Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

    1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote. 2. Gari la VX V8 ni lake binafsi. 3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote. 4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week. 5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa...
  3. JF Member

    Sakata la Spika Ndugai; CCM imeonesha kiwango cha chini cha Uongozi

    CCM kama chama kikongwe na kilichodumu kwa mda wa miaka, ni chama kinachoaminika kuwa na uongozi imara na makini. Binafsi nimeshangaa kuona namna gani umeshindwa kushugulikia swala la Spika na Rais. Maswala haya ni ya mihimili miwili, Spika anatakiwa alindwe kwa nguvu na kama anavyolindwa Rais...
  4. ESCORT 1

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  5. Petro E. Mselewa

    Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  6. K

    Mwanasheria: Barua ya Job Ndugai kujiuzulu Uspika ni batili kwa mujibu wa Katiba

    Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
  7. Q

    Askofu Bagonza: Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge

    MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini: 1. Ukubwa wa CCM si mtaji, ni hatari. Bila upinzani imara, CCM ni sawa na chatu aliyefugwa ndani chungu cha mfinyanzi...
  8. GENTAMYCINE

    Tanzania ingekuwa na 'Strong Media' Kauli ya Spika Ndugai ingeeleweka vyema kwa 'Public' ila tuna 'Rotten Media' yenye 'Kujikomba' kwa Rais

    Kama ni Rais huyu huyu Samia Suluhu Hassan alishasema katika moja ya Hotuba yake Kubwa kuwa Watanzania tusiache na wala tusiogope Kumkosoa leo hii Spika Ndugai nae katoa Maoni yake kwanini aandamwe na aonekane Mkosaji Mkuu? Moja ya Kazi Kuu ya Media inayojitambua ( Siti hii yetu ya Waswahili )...
  9. T

    Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii imekaaje wadau?
  10. GENTAMYCINE

    Serikali tunaomba mtuambie je, na huku Kuadimika kwa 'Soft Drinks' nchini kumesababishwa pia na Kauli ya Spika Ndugai au?

    Katika Gazeti la Leo la The CITIZEN ukurasa wa Nne ( 4 ) nanyi ( Serikali ) mmekiri 'Kuadimika' Kwake na mmeahidi Kufanya Uchunguzi wa kwanini hivyo tunaomba majibu yenu ya haraka ili Wanywaji wa Soda na tusio Walevi wa Bia na Mvinyo tujue tafadhali.
  11. Ileje

    Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa...
  12. Roving Journalist

    Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
  13. Zanzibar-ASP

    FUNZO LA NDUGAI: Kuna haja kisheria kwa Tanzania kuwa na Spika asiyetokana na chama cha siasa?

    Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa. Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa kilichotokea tutarajie Spika mpya kuwa na hofu, asiye na maajabu

    Kwema Wakuu! Wote tumeshuhudia yaliyotukia. Yanastaajabisha na hata hivyo yanadhihirisha nyufa za wazi ambazo Kama taifa tunapaswa kuzifanyia mpango tuzizibe. Kilichotokea kinatukumbusha umuhimu wa Katiba mpya ndani ya taifa letu. Hata hivyo mambo haya yanabidi Yatokee mara Kwa mara na yaguse...
  15. T

    Jina la Spika litashangaza wengi

    Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi. Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
  16. tpaul

    Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  17. evangelical

    Spika akijiuzulu atapata hadhi ya Spika Mstaafu?

    Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya mishahara wake aliopokea kama spkika,diplomatic passport . Kwa subwoofer aliyejiuzulu itakuwaje?
  18. Kurzweil

    MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Habari WanaJF, Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo; Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi? Je, Naibu Spika anachukua madaraka Moja kwa Moja? Karibuni Wajuvi ====== KWA MUJIBU WA KATIBA ya...
  19. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
Back
Top Bottom