Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania.
Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili...