FT Stade Malien 2-1 Simba SC | CAF CL | 30 Novemba 2025 | Stade du 26 Mars, 7:00 usiku

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania.

Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili zinataka kushinda mechi hii ili kujihakikishia nafasi nzuri zaidi.

1764490698994.png
 
Naona wenye nchi wako busy na maandalizi ya D9!! Hii hali siyo ya kawaida hata kidogo.
 
Kila la Kheri Chama langu la Simba Sports Club Nawatakia Ushindi wa goli 2
 
Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania.

Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili zinataka kushinda mechi hii ili kujihakikishia nafasi nzuri zaidi.

Ni saa 1 (moja) siyo saa 7
 
Kama Simba asiposhinda kipindi cha kwanza basi kipindi cha pili wenyeji wataimaliza mechi.

0-1, 1-0.
 
Ila hii tusipochoka, tunashinda
 
Back
Top Bottom