FT Stade Malien 2-1 Simba SC | CAF CL | 30 Novemba 2025 | Stade du 26 Mars, 7:00 usiku

FT Stade Malien 2-1 Simba SC | CAF CL | 30 Novemba 2025 | Stade du 26 Mars, 7:00 usiku

Tutulie tu
Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania.

Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili zinataka kushinda mechi hii ili kujihakikishia nafasi nzuri zaidi.

Siku hizi hakuna live??
Cookie
 
Mbuzi kala mkeka, wapambe sijui mtalala wapi...
 
Back
Top Bottom