Hii barabara pichani kwa jina MANDELA Road, ndio barabara yangu yenye ubora kabisa.
Kwanza, imedumu bila kubonyea bonyea, kuweka mabigijii kama ilivyo baadhi ya barabara zenye heavy traffic
Pili, imezingatia haki za watumiaji wote. Inayo sehemu ya mapitio ya dharura, waenda kwa miguu na magari...