Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion).
Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
Habari za masiku wanajukwaa.
Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+
Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
Ni bahati Njema awali mlikuwa wizara ya Mambo ya ndani na sasa Mwigulu yuko wizara ya fedha na Masauni karudishwa Mambo ya Ndani akiwa full minister, kwa uzoefu wenu mlikaa wazara hii mkazijua shida za askari hawa,,sasa kawalipeni posho zao za Maji+umeme+pango askari hawa wamevumilia sana...
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!
Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda.
Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
Wanabodi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Chakula Duniani, huu ni uzi wa swali na wito, jee sisi Tanzania, tumeipa siku hii umuhimu stahiki?. Japo siku yenyewe kimataifa ni leo, ila kilele, kwa Tanzania, kimepangwa kesho, kutokana na ratiba kugongana na tukio jingine muhimu zaidi ya Siku ya Chakula...
Nitumie ukurasa huu kuipongeza serikali ya awamu ya tano katika suala zima la kuendelea kupambana na umaskini kwa kujikita katika kujenga Tanzania ya viwanda ambapo kwa matarajio makubwa ni dhahiri kwamba siku za mbeleni suala la ukosefu wa ajira kwa kiasi kikubwa litakua limepungua. Hii...
DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO.
Na Mwandishi wetu:
Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu msingi na sekondari kuwalipa walimu wanaodai stahiki zao mbalimbali. DC Mwenda ameyasema hayo wakati...
Wanabodi,
Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki".
Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu...
haya hayaaaaaa fayaaa fayaaaaaa makanjanja hata kumchimba wema sepetu mmeshindwa? mlewesheni basi pombe kali awamwagie ma story ya mzungu kukimbia huko utopoloni?
Oh I forgot issues za utopolo huwaga hamzishikii kidedea,wachambuzi takataka
DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili.
=========
Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii.
Iko hivi:
Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja.
"Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa."
"Naiomba serikali, Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.