Starehe Boys' Centre and School (popularly known as "Starehe") is a partial-board,
boys-only school in Nairobi, Kenya. The school was founded in 1959 by Dr. Geoffrey William Griffin, MBS, OBE, Geoffrey Gatama Geturo and Joseph Kamiru Gikubu. It started as a rescue centre in Nairobi. Starehe and Brookhouse School are the only African schools south of the Sahara and north of the Limpopo distinguished as Round Square members.
Wanasema tembea uone
Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia
Ukerewe ni Moja ya wilaya za
mkoa wa Mwanza
Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20
Nilitembelea baadhi ya visiwa...
Hello
Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha.
Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya...
Hii kitu inanishangaza sana.
Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga.
Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.
Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.
Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.
Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.
Conclusion yangu ambayo haina tafiti ni kwamba, ukitoa ukimwi kinachoua watu wa nyanda za juu kusini ni ulevi...
Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane
Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu
Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa.
Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi.
Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki.
Kama ni...
Tangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili kujionea raha ya ngono.
Nilichobaini ni kuwa tofauti ya wanawake ni ma housing na miguno tu.
Ushauri...
NUKUU
"Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
Pia soma: Kuelekea 2025...
ali kibao
ali kibao auawa
chadema
deni
dunia
kuelekea 2025
maandamano
maandamano chadema
mbowe
mkono
starehe
ujumbe
usiku
utekaji
utekaji tanzania
wapinga
watu wasiyojulikana
Hii ndio sababu kuu inayowafanya wapenzi wenu watembelee maeneo ya starehe.
Utapambana sana kumzuia; lakini atasingizia anaenda kucheki mpira, mara kupata moja mbili tatu, mara kusikiliza mziki, mara kujadili mambo ya kikazi au kibiashara na marafiki zake n.k
Ila ukweli ni huu..
Kama unadhani maruhani yapo kwa viumbe hai utakuwa umekosea sana.. Maruhani yapo pia kwenye vitu visivyo na uhai na lugha pia
Hebu waza kwa makini usahihi wa sentensi kama hizi
1. Maji yameenda kuchotwa
2. Nimemkuta hayupo
Na watu daily wanazitumia bila shaka kabisa...
Sasa kuna hili la wanyama...
Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya.
Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio...
Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.
Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.
Hii bar nitarudi tena kivingine.
Ndio maana His Majesty King David, the King of The United Kingdoms Of Israel and Judah, alisema " Nilifurahi walipo niambia twende nyumbani kwa Bwana"
Ibada ya kweli ni starehe na kustarehe na sio kinyume chake. Watu walio tunga taratibu za ibada kwenye dini zetu hizi mbili kubwa ( Ukristo na...
Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa mama muuza mihogo Ili anipe ya buku nipige countar attack mbaka night kasema wewe mtoto shika adabu...