starehe

Starehe Boys' Centre and School (popularly known as "Starehe") is a partial-board,
boys-only school in Nairobi, Kenya. The school was founded in 1959 by Dr. Geoffrey William Griffin, MBS, OBE, Geoffrey Gatama Geturo and Joseph Kamiru Gikubu. It started as a rescue centre in Nairobi. Starehe and Brookhouse School are the only African schools south of the Sahara and north of the Limpopo distinguished as Round Square members.

View More On Wikipedia.org
  1. ommytk

    Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

    Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya...
  2. Equation x

    Sababu zipi, zinazokupelekea wewe kwenda kunywa pombe maeneo ya starehe?

    Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani? Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
  3. Equation x

    Usipokuwa makini na unywaji wa pombe maeneo ya starehe, unaweza kupata mahusiano yasiyokuwa na tija

    Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku hiyo tulipiga pombe sana huku tukibembelezwa na ‘ live band’. Baada ya kukaa masaa kazaa, tukaona...
  4. kali linux

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya starehe za bei rahisi na kuongezeka kwa umasikini, the reverse is also true

    Hello bosses Hapa duniani nadhani moja ya kitu kibaya na chenye madhara makubwa ni umasikini, hasa hasa umasikini wa kiuchumi tukiweka pembeni ule wa kiakili. Umasikini ndio uongeza chuki kwenye jamii, husababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe na maswaibu kibao. Kuna vyanzo vingi vya umasikini...
  5. Mayunga234

    Starehe yako kubwa ni ipi?

    Salam Wakuu, Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi. and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
  6. Suzy Elias

    Kunywa pombe ni starehe ama utumwa? Shuhudia mwenyewe

    Sasa ndugu zangu wala ulabu kwa hali hiyo je ni starehe ama utumwa?!
  7. Joseph Kasa-Vubu

    Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
  8. Equation x

    Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Starehe ya mwanaume ni kuwa na mwanamke anayeweza kuzungusha kichongeo chake kwenye penseli ili ichongeke vizuri. Hivi vichongeo vikubwa (chura) huwa havichongi vizuri penseli, badala ya kujizungusha vizuri ili penseli ichongeke vizuri, inakuwa ni tofauti; penseli inakuwa haina makali na haitoi...
  9. Balqior

    Hivi hapa Dar kuna sehemu inatoa starehe kama hizi?

    Simaanishi danguro, au guest houses, nauliza hivi Dar kuna jengo la kifahari maybe ghorofa yenye fenicha na vitu vya kifahari ndani, ambalo mwanaume unalipa pesa halafu ukiingia Ndani ya ilo jengo Unakuta wadada weengi wazuri kama ishirini hivi wote Wapo uchi wa mnyama, wasivae nguo yoyote...
  10. kali linux

    Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

    Hello bosses, Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values). Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga...
  11. sky soldier

    Heshima, starehe, urijali, kipaumbele kwa wanaume ni ngono, kwa mwanamke ni nini?

    Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno. Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume. Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka, Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee...
  12. dexterous

    Hii tabia ya uvutaji wa sigara ovyo ikomeshwe

    Wasalam Iko hivi kuna tabia/mazoea kwa wavutaji wa sigara wanaovuta sigara kiholela barabarani na sehemu zenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya za watu wengine Embu fikiria uko njiani unatembea mbele yako kuna mtu anavuta sigara na ule moshi anaoupuliza wote unawarudia mliokuwa nyuma yake...
  13. Mshana Jr

    Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

    Nimeamua kuandika mada kutokana na tatizo la mmoja wetu hapa JF kule kwenye mada ya pombe na wanywaji/walevi. Huyo ndugu yetu ana tatizo na ulevi, hana control na kila akilewa hufanya mambo ya ajabu ambayo mengine huhatarisha maisha yake na uharibifu wa mali na usumbufu kwa wengine. Pamoja na...
  14. Lavit

    Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

    Hivi wakuu nyie mnawezaje kumudu bei za pale kuanzia vyakula mpaka vinywaji? Kuna siku nimeuziwa glass ya juice ya pineapple 5000, mpka nikajicheka, nikauliza popcorn za chumvi eti 4000..wale watu sidhani kama wapo serious. Imefika muda nikienda yale maeneo nakuwa mzito kutumia visenti vyangu...
Back
Top Bottom