stationery

Stationery is a mass noun referring to commercially manufactured writing materials, including cut paper, envelopes, writing implements, continuous form paper, and other office supplies. Stationery includes materials to be written on by hand (e.g., letter paper) or by equipment such as computer printers.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  2. Karibu Shaloom Africa Stationery, Kwa huduma bora, Tupo Buguruni sheli:

    Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu. Karibuni sana.
  3. Anatafutwa Mfanyakazi wa Stationery (Typist), Mwanza

    Stationery ipo Mwanza, Wilaya ya Nyamagana maeneo ya chuo cha SAUT 1. Awe na uwezo mzuri wa kutumia vifaa vya stationery kama vile computer, printer, photocopiers, pamoja na vifaa vingine vinavyohusika katika mazingira hayo 2. Awe na speed nzuri ya ku type (at least 40PPM) 3. Asiwe na majukumu...
  4. Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  5. Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  6. Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  7. O

    Stationery kukosa flash na usb ni ajabu

    Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000 Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
  8. G

    Nauza vifaa vya Stationery

    Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon paper 1pkt @ Tsh 3000 Counter book 2Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book 3Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book...
  9. G

    INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Nauza Printer 🖨 ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality 💯 Napatikana Dar, Mbweni WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
  10. K

    Anahitajika Mfanyakazi wa Stationery

    TANGAZO Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery. Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu. Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe. Awe anajua kupiga passport na kuprint...
  11. Z

    Biashara gani naweza kufanya nyongeza kwenye stationery yangu

    Habari, Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato? Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
  12. M

    Hivi mwezi huu biashara ya stationery huwa inaenda slow?

    Ndugu zangu habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
  13. M

    Ushauri: Eneo la kufanya stationery na jinsi ya kuboresha biashara hii

    Kwahiyo, location imekuwa tatizo kuoata kwasababu sehemu nyingi watu wamejaa wenye kufanya tasnia hiyo ya stationery. Location ambazo nakusudia ni: Posta Sasa sijapata na naskia stationery zimejaa sana maeneo hayo. Sasa thread hii nataka kuomba ushauri nifanye nini ili kuboresha biashara...
  14. Q

    Natafuta Mfanyakazi wa stationery

    NATAFUTA MFANYAKAZI WA STATIONARY Awe msichana mwenye umri wa miaka 22 - 30. Awe na ujuzi wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili (Kuandika na kuongea) Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea Awe na ujuzi wa kutumia Komputer katika shughuli mbali mbali kama vile Typing, Printing n.k Awe na...
  15. Biashara ya Stationery

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada chap chap... Mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi,kazi yangu inakula mda wangu wote,sipati nafasi ya kusimamia ama kuendesha biashara zingine. Ila nina hobby ya kupiga picha ni kitu napenda toka utotoni,nikaona ili kuhiendeleza nikasoma mitandaoni na hasa...
  16. Natafuta kazi kwenye stationery

    Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo. Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
  17. Bora wazee waliobadilishana almasi kwa shanga na vikombe sisi leo mahindi/mazao kwa makaratasi meupe!

    Yas kama bei ya karatasi [hizi rimu/ream sijui] imefikia sijui 20,000s, na gharamagharama sijui thelathini naa huoni kama ni yaleyale. Ya kutoa dhahabu na kupewa kioo!! Tunapewa kakitu kadogo tusichozalisha kwa bei kubwa na ili kupata fedha za kununulia huto tuvitu tunauza chakula chetu cha...
  18. Vifaa vya stationery vinazidi kupaa juu. Tunaisaidiaje elimu yetu?

    Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana. Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/= Kwa sasa ni Tsh 100,000/=. Mimi bado...
  19. Watu wa Stationery tunaomba serikali ichunguze kupanda kwa bei za karatasi na vifaa vingine

    Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea. Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
  20. INAUZWA Stationery Inauzwa

    Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za kuuza ni mwenye nayo kukosa usimamizi). Ndani kuna vitu vifuatavyo: 1. Computer 1 2. Printer 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…