Stationery is a mass noun referring to commercially manufactured writing materials, including cut paper, envelopes, writing implements, continuous form paper, and other office supplies. Stationery includes materials to be written on by hand (e.g., letter paper) or by equipment such as computer printers.
Ofisi ipo Mbezi Goba.
AWE MA SIFA ZIFUATAZO
1. Awe anaweza kutype kwa spidi.
2. Awe ana uwezo wa kutumia Inteernet
3. Awe ana uwezo wa kudesign.
4. Awe anaweza kuprint.
5. Awe anaweza kutumia mashine ya photocopy.
6. Awe anaweza kuscan.
7. Awe anaweza kutumia software ya Adobe.
8. Awe anaweza...
Wakuu nahijitaji vifaa vya stationery kwa Bei ya jumla Kama ifuatavyo.
1.Realm paper
2 flat files
3.printer ink HP laser jet 83A na 85A
4. Endorsing ink
5.blue pen and red pen
6.Box files
7.rubber band
8.steppler
9.punch
Etc.
Najua k/koo nikienda kutafuta nitaipata lkn Kama Kuna mdau huku...
Habari wanaJF,
Natumai hamjambo nyote
Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei nzuri, nataka niwe nauza jumla na reja reja pia, hivyo naomba mwenye kujua anijuze napata wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.