Habari wanaJF,
Natumai hamjambo nyote
Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei nzuri, nataka niwe nauza jumla na reja reja pia, hivyo naomba mwenye kujua anijuze napata wapi...