stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  2. ESCORT 1

    Pre GE2025 Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega

    Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327. Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua...
  3. The Watchman

    Wafanyabiashara stendi ya Mlowo Songwe waomba stendi ipewe jina la Daniel Chongolo ili kumuenzi

    Wananchi na wafanyabiashara wa stendi mabasi ya Mlowo wamekoshwa na hatua za utekelezaji wa umaliziaji uliokuwa ukisua sua muda mrefu wa vibanda na miundo mbinu yake. Wafanyabiashara hao, kutokana na juhudi kubwa zilizofanywa na Mkuu wa Mkoa aliopo sasa Mkoani Songwe, Daniel Chongolo...
  4. Waufukweni

    Mwanafunzi wa Chuo afariki dunia stendi ya Msamvu akisubiri basi

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma. Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  5. M

    Mbunge Medard Kalemani umeshindwa kupiga kelele ili stendi ya mabasi Chato ifanye kazi?

    Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu. Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
  6. GENTAMYCINE

    RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

    Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
  7. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  9. Mzee wa Code

    Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
  10. T

    Stendi ya Mabasi Nyegezi na Nyamuhongolo (Mwanza) Vyumba vingi vya Biashara vipo tupu kutokana na uendeshaji mbovu

    Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
  11. desmond3076

    KERO Vyoo vya Stendi Kuu ya mabasi Bweri ni vichafu na vinatisha

    Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja na changamoto hizi, mamlaka husika zimeendelea kukusanya mapato bila kuchukua hatua yoyote ya...
  12. JanguKamaJangu

    KERO Mamlaka hazioni kero zinazotokana na kukosekana kwa Stendi eneo la Kawe Mwisho (Dar es Salaam)?

    Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini katika hali ambayo inaleta mtanzuko sehemu hiyo ni muda sasa imeendelea kukosa stendi yenye hadhi...
  13. Dalton elijah

    KERO Stendi ya Buzuruga yageuka dampo la uchafu

    Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo Lakini kwa sasa hali imeanza kubadilika kwa Baadhi ya wafanya Biashara kugeuza maeneo ya katikati ya...
  14. B

    Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

    Hii ndiyo hali ilivyo barabarani: Tuko kama tuliopagawa!
  15. M

    DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  16. M

     Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

    Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali. Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi...
  17. Cute Wife

    Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
  18. M

    KERO Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

    Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani? Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
  19. Nyendo

    KERO Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa

    Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu. Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu kinafanyika. Kipindi cha mvua tumekuwa tukipata shida sana kwani hii stendi huwa inajaa maji na hata...
  20. Suip

    Stendi ya Arusha haifanani na hadhi jiji la Kitalii

    Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu enzi Rais Magufuli mpaka leo haikamiliki na pia hii ya zamani nadhani itaendelea kutumika na...
Back
Top Bottom