Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya)
Ni shilingi ngapi?
Na pia nahitaji kujua Umbali wake.
Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake
Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jaffo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7
Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa...
UJENZI wa stendi mpya ya mabasi yaendayo ndani na nje ya nchi katika eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa baada ya kumpata mkandarasi atakayejenga. Ujenzi huo unaotarajiwa kugharimu zaidi ya Sh Bilioni 50 za Tanzania, unatajwa kuwa mkubwa na wa...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ipo kwenye majadiliano ya kuhamisha kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), kilichopo Jangwani na kukipeleka kwenye kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo (UBT).
Hatua hiyo inatokana na eneo hilo la Jangwani kukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara hali...
Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo umeanza au umeahirishwa?
Sababu iliyo nisukuma kujua jambo hilo ni kutokana na usumbufu mkubwa uliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.