Wakuu,
Wajumbe wa chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania wamekutana na waandishi wa habari mjini Arusha ambapo wameiomba Serikali kufuta lile agizo la kwamba lazima wakapakie abiria kwenye stendi ya mabasi ya Arusha
Hawa wajumbe wanasema kuwa hiyo stendi ya Arusha ni mbovu na ya zamani na...