McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Wajumbe wa chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania wamekutana na waandishi wa habari mjini Arusha ambapo wameiomba Serikali kufuta lile agizo la kwamba lazima wakapakie abiria kwenye stendi ya mabasi ya Arusha
Hawa wajumbe wanasema kuwa hiyo stendi ya Arusha ni mbovu na ya zamani na kwamba wanaomba waendelee kubakia kwenye vitu vyao vidogo vya kupakia abiria hadi hiyo stendi kubwa itakapokamilika
Soma Pia: RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'