kero ya foleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya foleni NATTA Mwanza, mistari ya Zebra nayo imefutika, ni kero hasa asubuhi

    Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi Arusha: Serikali ni kama inataka kutuonea. Ituache tuendelee kupakia abiria nje ya stendi kuu

    Wakuu, Wajumbe wa chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania wamekutana na waandishi wa habari mjini Arusha ambapo wameiomba Serikali kufuta lile agizo la kwamba lazima wakapakie abiria kwenye stendi ya mabasi ya Arusha Hawa wajumbe wanasema kuwa hiyo stendi ya Arusha ni mbovu na ya zamani na...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Mbezi) kuna kero ya foleni na hii sio kwa leo tu

    Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na tumekaa hapa kwa zaidi ya saa moja sasa. Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa kipande cha Mwendokasi Karume (Dar) upo 'slow', unasababisha kero ya foleni

    Kwa zaidi ya miezi miwili eneo la Karume ambalo ni maarufu kwa wafanyabiashara wa mitumba kumekuwepo na changamoto ya foleni ambayo inatokana na ujenzi wa njia ya Mwendokasi. Mkandarasi ameziba njia upande mmoja kwa muda mrefu huku shughuli za ujenzi zikiwa zinafanyika taratibu (slow) jambo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza adha ya foleni katika barabara ya Morogoro kipande cha Ubungo-Mbezi katika kipindi hiki cha utanuzi wa barabara hii?

    Shaloom Shaloom Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara. Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni...
Back
Top Bottom