DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila asubuhi huwa kuna foleni kubwa mitaa hiyohiyo, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi, sijui hali hii mpaka lini, kwani hakuna namna Mamlaka zinaweza kufanya kukabiliana na kero hii?