Kero yangu ni kutoka Mwanza Stendi ya Daladala eneo la Posta maarufu Stendi ya Igombe, vyoo vya kulipia ambavo vinapatikaha hapa stendi kwenye majengo ya Mwanza City Council (MCC) ni vichafu sana na still kuna wachukua hela.
Hakuna wafanya usafi, vinyesi kila kona mikojo imesambaa, mabomba...