KERO Vyoo vya kulipia Stendi ya Igombe iliyopo Posta Mwanza ni sehemu ya kuambukizwa UTI sugu

KERO Vyoo vya kulipia Stendi ya Igombe iliyopo Posta Mwanza ni sehemu ya kuambukizwa UTI sugu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni kutoka Mwanza Stendi ya Daladala eneo la Posta maarufu Stendi ya Igombe, vyoo vya kulipia ambavo vinapatikaha hapa stendi kwenye majengo ya Mwanza City Council (MCC) ni vichafu sana na still kuna wachukua hela.

Hakuna wafanya usafi, vinyesi kila kona mikojo imesambaa, mabomba yametoboka, ni hatari sana hasa kwa magonjwa ya milipiko, so tunaomba warekebishe mazingira ili kuokoa majanga ya magonjwa ya milipuko na UTI sugu.
photo_2026-07-24_15-45-27.jpg
photo_2026-07-24_15-45-23.jpg
photo_2026-07-24_15-45-20.jpg
 
Back
Top Bottom