Sijui niseme ni kukosa hekima au ni makusudi.
Baadhi ya makampuni ya mabasi waliamua kukodi ama kujenga vituo vyao binafsi vya mabasi kwa ajili ya urahisi kwa abiria wao na kuepuka usumbufu usio wa lazima kutoka kwa wapiga debe huko stendi na hata wizi.
Na naamini kama ni kukodisha ina mana...
Kwanza nianze kukubaliana na walio wengi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha kupita kiasi kutokana na sababu mbali mbali hasa zile za kiulimwengi hususani tokea mlipuko wa corona na sasa vita vya Russia na Ukraine
Ikumbukwe pia baada tu ya kutangazwa bei mpya za mafuta bei za vitu pamoja na...
Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.
Habari!
Pamoja na kazi nzuri iliyofanywa na serikali kujenga barabara ya njia nane Kimara-Kibaha lakini ukweli ni kwamba watumiaji wa barabara hii wananchi na madereva wameamua kuigeuza barabara hii kama machinjio!
Barabara hii kwa sasa hawezi pitisha wiki au siku tatu haijamwaga damu za watu...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuagiza wenye mabasi kuyaingiza ndani ya kituo cha mabasi cha Magufuli wakati wa kupakia na kushusha abiria, baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na uamuzi huo.
Makalla alitoa agizo hilo jana Ijumaa...
Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha...
Kwakweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lissu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.
CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua...
Jana abiria tuliotoka mikoani tulioshuka mida ya saa nne usiku pale stendi kuu ya Magufuli tulipigwa na butwaa pale usafiri tulioutegemea kututoa huko kutusogeza mjini ukikosekana!
Tulitoka stendi ya Magufuli tukajikongoja na mizigo na wengine wakiwa na watoto wadogo kufika mbezi stendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.