Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu amekagua shughuli za kamati ya ulinzi wa watoto wanaoishi mazingira magumu/ mitaani iliyopo stendi Kuu ya Mabasi Nyegezi jijini Mwanza.
Mdemu amekagua shughuli za kamati hiyo Jumanne Agosti...