Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo. Serikali imeweka huduma zote zikiwapo Mabenki, Maduka, mahoteli, vyoo, ghorofa yenye vyumba vya kulala...