stephen wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  2. Gabeji

    Rais Samia kuwa makini sana na Stephen wasira ni kigeugeu sana

    1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI. Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake. NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo. Akizungumza Januari...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais. Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu...
  6. mama D

    Pre GE2025 Mzee Wasira: CHADEMA wapo honeymoon

    Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho...
  7. M

    John Heche Chawa wa Tundu Lissu amebakia kichwa tu

    We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe? Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
  8. L

    Pre GE2025 Stephen Wasira amjibu John Heche kuhusu umri wake kuwa mkubwa. Asema gari ni injini siyo bodi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara, Stephen Wasira, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuhusu hoja ya umri wake, akisisitiza kuwa uwezo wa mtu hautokani na miaka aliyoishi bali akili alizonazo. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Geita leo Januari 29, 2025...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema chama hicho ni chama kiongozi cha ukombozi na hakikatai mazungumzo na kitafanya na mtu au taasisi yoyote, si vyama vya siasa pekee. Wasira amesema kuna watu wanazungumza kwa kusema "No reform, no election,"...
  10. J

    Namshauri Rais Samia amteue Mzee Warioba na kumtengua Mzee Wassira maana anaendana zaidi na 4R zake

    Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama. Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia maridhiano kati ya CCM na wapinzani. Kwa upande mwingine sioni mantiki ya uteuzi wa Mzee Wassira kwani...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Musukuma amjia juu John Heche kwa kumsema Wasira ni mzee

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM. Soma: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine...
  12. Aramun

    Pre GE2025 Wasira mbona hana utulivu wa akili? Ni kama amedata hivi na kauli ya "No Reform, No Election".

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia. Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya...
  13. Tlaatlaah

    Unadhani kwanini CCM kumteua Dkt.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa Urais na Stephen Wasira kama M/kiti CCM taifa, upinzani nchini umekata tamaa?

    My friends, ladies and gentlemen, Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi...
  14. Mama Edina

    Pre GE2025 Kwa hali na kauli za mzee wasira kuna kila dalili " kurudishwa kundini bwana bashiru" the ghang

    Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired. Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili kukichoma moto chama cha Mapinduzi. Hii ni ishara kwamb Sukuma gang bwana Bashir akahitajika. Kiufupi...
  15. Lord denning

    Pre GE2025 Lissu akimjibu Wasira CCM msikimbilie kutumia dola kama kipindi cha Magufuli

    Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA. Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu msikimbilie tena kutumia dola kama Hayati mzee Meko kipindi kile. Sote tunajua baada ya Press ya Lissu ule...
  16. T

    Pre GE2025 Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe? Soma Pia: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Uchaguzi Mwenyekiti...
  17. T

    Pre GE2025 Wasira: Wakati wao (wapinzani) wakiendelea kuchezea ndevu sisi tunaendesha dola

    Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea kujiandikisha. Hivyo wakati waapinzani wanaendelea kuchea ndevu wao wanazidi kujipanga kuendesha dola. Kupata...
  18. Pascal Mayalla

    Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  19. M

    Kitendo cha CCM kumleta Wassira mzee wa miaka 80 inaonyesha upungufu wa human resource katika chama hicho

    Of all the people ndani ya chama cha mapinduzi eti CCM wanamleta Stephen Wassira. Mzee wa miaka 80 eti awe ndiyo makamu mwenyekiti wa chama hicho. Hili ni jambo la kustaajabisha sana kwa viwango vyovyote vile. Na hii ni kwa sababu zifuatazo. 1. Tulitegemea CCM ijifunze kwa Kujiuzulu Kinana...
  20. Msanii

    Wassira, unataka kuanza na maridhiano? Hii ndiyo menu muhimu ya maridhiano kama unamaanisha maridhiano

    Baada ya CCM kumchagua ndugu Stephen Wassira kurithi kiti cha Kinana. Ameanza kutoa kauli ya kutaka kufanyakazi ya mwanzo kabisa ya maridhiano..... CCM inadhani kuwa ikishakaa na CHADEMA wakaridhiana wanakuwa wameridhiana na taifa. Mimi nawakikisha Watanzania huru ambao hawaamini kwenye mbanga...
Back
Top Bottom