stephen wassira

Stephen Masato Wasira (born 1 July 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010. also He is a Vice chairman in Chama cha Mapinduzi since 18 january 2025 after Abrahaman Kinana

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Mzee Wassira, Amani ni matokeo ya Haki, unatangazaje Amani wakati Watu wanatekwa, wanauwawa? Mzee jaribu kua na Busara!!

    Hii Amani yako unayoishupalia shingo ni pale tu UHAI WA CCM unapotishiwa na UPINZANI?. Miaka nenda miaka Rudi ,Hoja kuu ya CCM Huwa ni Amani ,Amani hii ni katika muktadha wa CCM au Taifa?? Kwani Upinzani wakishika NCHI wao ndio wataanzisha vita au nini??. , Mzee Wassira danganya watoto ...
  2. Ojuolegbha

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili Songwe kwa ajili ya ziara ya siku 3

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe. Uwanjani hapo Makamu Mwenyekiti Wasira alilakiwa na viongozi mbalimbali wa CCM na serikali akiwemo...
  3. Kabende Msakila

    Pre GE2025 Stephen Wassira: Mtu mahiri, mbobezi, na mzalendo kwa Taifa

    Wanabodi, Salaam! Namzungumzia nguli wa siasa na diplomasia nchini - mwamba wa nchi - chuma cha pua Mhe Stephen Masatu Wassira. # Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye umri mkubwa kama Wassira - kiumweli ukilinganisha umri wake na kazi afanyazo huwezi kuamini; # Mzee Wassira ana uwezo wa...
  4. CM 1774858

    Pre GE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  5. CM 1774858

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili kwenye msiba wa baba yake Mohamed Mchengerwa

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa. Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Ally Bananga Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Dar amkingia kifua Wassira kusinzia kwenye vikao "Hakuna dhambi mtu kusinzia

    Wakuu, CCM wananikumbusha mwaka jana ambapo Democrats walikuwa wanamtetea Biden kwamba hana shida yoyote na hali yake ya kiafya iko vizuri. Walidanganya watu wee siku ya debate ikafika, Biden akapigwa katafunua moja na Trump, political career ya Biden ikaishia hapo! Sijui nilitaka niseme...
  7. Mindyou

    Stephen Wassira: Kazi ya Makamu Mwenyekiti CCM haina mshahara ni kujitolea. Hao Vijana wanaweza kufanya kazi zisizo na mishahara?

    Wakuu, Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA? Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa. ======================================== Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara...
  8. Lord denning

    Pre GE2025 Majibu kwa Wasirra na Makalla: Sehemu pekee iliyopaswa kutuonyesha Marekebisho ya Sheria mlizofanya hazikuwa hadaa ni Uchaguzi wa Novemba 2024

    Katika kuendelea kuwafanya Watanzania ni wajinga na watu wasiojua chochote, nimewasikia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira na Mwenezi wao Amos Makalla wakidai kuwa, yalishafanyika mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hivyo hoja ya No Reform No Election haina mashiko. Wassira na Makalla...
  9. Mindyou

    Pre GE2025 Stephen Wassira aihakikishia Marekani kwamba Uchaguzi ujao utakuwa ni wa huru na wa haki. CCM wanaogopa vikwazo?

    Wakuu, Tunaposema kuwa CCM inawaogopa zaidi wazungu kuliko wananchi na vyama upinzani tunamaanisha mambo kama haya. Swali la kujiuliza, ni kwanini Wasira "anaihakikishia" Marekani Uchaguzi kuwa huru na wa haki? Shotocan Lucas Mwashambwa naomba msaada kwenye swali langu...
  10. Influenza

    Pre GE2025 Lissu: Kukaa na Wassira ni kupoteza muda, kama kuna la kujadili tutajadili na Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji...
  11. M

    Aliyenishauri niingie kwenye kilimo cha parachichi hapa Njombe aliniingiza chaka, nimepoteza fedha na muda

    Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia...
  12. Ojuolegbha

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza , Katika mkutano

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza , Katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Ukumbi wa CCM KIRUMBA uliopo Wilaya ya Ilemela Mkoan humo. #Kaziiendelee #KaziYaChamaKwaWanachama
  13. Mindyou

    Pre GE2025 Stephen Wassira: Wanaosema Uchaguzi haufanyiki hadi reform, hiyo ni ndoto ya mchana. Uchaguzi utafanyika na CCM ijiandae kushinda!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira amesema Uchaguzi Mkuu ujao (2025) utafanyika kama utakavyopangwa na Tume Huru ya Uchaguzi nchini (INEC). Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akihutubia wafuasi wa chama hicho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo...
  14. T

    Pre GE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  15. Erythrocyte

    Pre GE2025 Steven Wassira aelimishwe kwamba majukumu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM siyo kutukana CHADEMA

    Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa. Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana...
  16. Dialogist

    Pre GE2025 Video: Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto wa Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike

    Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
  17. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa: Mzee Wassira utakuja kumeza maiki. Tuambie Deusdedith Soka yuko wapi?

    Wakuu, Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira ========================== Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila akizungumza katika mkutano wa hadhara na...
  18. T

    Pre GE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
  19. T

    Pre GE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
  20. J

    Nadhani Mzee Wassira amesahau kuwa Nauli ya Nyerere kwenda UN kudai Uhuru ilitolewa na babake Freeman Mwenyekiti mstaafu wa Chadema!

    Tunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika Ahsanteni
Back
Top Bottom