stephen wassira

Stephen Masato Wasira (born 1 July 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010. also He is a Vice chairman in Chama cha Mapinduzi since 18 january 2025 after Abrahaman Kinana

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Wasira: Wanaosema tumekaa miaka 60 hakuna tulichofanya tuwasamehe hawajui wanachosema

    Wakuu, Wassira amesema wanaoesema hakuna kilichofanyika kwa miaka 60 ya uhuru wanatakiwa kusamehewa kwani hawajui walisemalo. Amesema zamani kulikuwa na barabara tatu pekee Dar -Moro, tanga korogwe, na moshi kwenda arusha na sababu zilikuwa zinaendelea kwenye mashamba ya biashara, elimu...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa

    Wakuu, Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025. Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili tulivu. https://www.youtube.com/live/4P5xbgdNV3w?si=oQJ_bTnSNJUw_luk Wasira amesema baada ya kupata...
  3. T

    Pre GE2025 Wasira apewa jina lenye asili ya kigogo lenye maana ya jemedari wa vita

    Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia...
  4. CM 1774858

    Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira Dodoma

    Tufuatilie Mbashara Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg Stephen Wasira Mkoani Dodoma. https://www.youtube.com/live/dqbzX1ecfZc?si=mXnTADLSIu9MFw7X
  5. J

    Wassira aweka Rekodi ya Pili: Kuwa Mbunge mdogo zaidi wa kuchaguliwa na ndiye mzee zaidi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti

    Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge akiwa na umri wa miaka 23. Leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa na miaka 80. Amezaliwa mwaka 1945 na Taifa la Israel liliasisiwa mwaka 1947. Ahsanteni sana 😄😄 Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu...
  6. R

    Wasira yupo toka kipindi cha Nyerere!

    HONGERA wASIRA.......YUPO.......YUPO..........YUPO................YUPO......................YUPO......................YUPO Steven wasira 80 YRS OF AGE...........................YUPO Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  8. M

    Nimefurahi sana Steven Masatu Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Huyu mwanaume pamoja na umri wake ana madini kuliko mtu yeyoye unayemjua wewe hapa Tanzania, kwanza ni msomi wa hali ya juu, pili anajua historia ya nchi hii, tatu hakuna hoja unayoweza kuiweka mezani akashindwa kuijengea hoja, mwanaume huyu anazungumza kwa hoja inayoeleweka, nakumbuka kuna...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
  10. SEGUZO

    Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

    Historia yake Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 -...
Back
Top Bottom