stergomena tax

Stergomena Lawrence Tax (born 6 July 1960) is a Tanzanian civil servant who serves as the incumbent Executive Secretary of the Southern African Development Community (SADC).

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    LGE2024 Dkt. Stergomena Tax: Msiridhike na shamrashamra za Kampeni na mafuriko ya Mikutano, kapigeni kura

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 25 Novemba 2024, ameshiriki Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya Magu, kwa kuwanadi na kuwaombea kura Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Vitongoji, Mitaa, pamoja na...
  2. Cute Wife

    Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

    Nyuki wa Mama mpo? Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa...
  3. Ojuolegbha

    Waziri Stergomena Tax msibani kumfariji mbunge Boniventura Kiswaga kufuatia kifo cha Mjukuu wake

    WAZIRI STERGOMENA TAX MSIBANI KUMFARIJI MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 1, Julai 2024 ameungana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Magu...
  4. DodomaTZ

    Waziri Dkt. Stergomena Tax aungana na Wajumbe kushiriki Kikao cha Kamati ya Siasa wilayani Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo Juni 29, 2024 ameungana na Wajumbe wengine kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Siasa Wilaya Magu, jijini Mwanza. Kikao hicho kimefanyika Ofisi za CCM, Magu kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Komredi Enosy Ndobheji...
  5. JanguKamaJangu

    Waziri Dkt. Stergomena Tax: Maveterani waliopigana vita ya kagera wameshalipwa, hakuna anayedai

    Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na hakuna anayedai. Pia Soma: ~ Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya...
  6. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi akiwa kwenye ziara nchini Ethiopia

    WAZIRI WA ULINZI ZIARANI NCHINI ETHIOPIA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 04 Juni, 2024 amefanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Mheshimiwa Injinia Ayisa Mohamed Mussa katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi nchini Ethiopia...
  7. DodomaTZ

    Waziri Stergomena Tax ashiriki Ibada ya Pasaka Kigango cha Shishani Wilayani Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Machi 31, 2024 ameungana pamoja na Waumini wa Dini ya Kikristu katika ibada ya kusherekea Sikukuu ya Pasaka katika Kigango cha Shishani, kilichopo Parokia ya Mtakatifu Kizito Kabila, Magu, chini ya Jimbo Kuu la Mwanza...
  8. B

    Indonesia yadhamiria kununua hisa zote kitalu cha gesi Mnazi Bay Mtwara

    Pertamina Seeks Majority Share in Tanzania’s Mnazi Bay Jayany Nada Shofa June 22, 2023 | 3:43 pm Foreign Affairs Minister Retno Marsudi shakes hands with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax in Jakarta on June 22, 2023. (Photo Courtesy of the Foreign Affairs Ministry) Indonesia is seeking...
  9. ChoiceVariable

    Tanzania yazindua rasmi Ubalozi wake Jijini Algiers, Algeria

    Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
  10. Roving Journalist

    Waziri Stergomena Tax awaaga mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ujerumani na Norway

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuwaaga mabalozi watatu waliokuwa wanaziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda wao wa uwakilishi. Dkt. Tax amewaaga mabalozi hao katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es...
  11. MSAGA SUMU

    Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea. Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
  12. Teko Modise

    Stergomena Tax anaweza akabaki mwanamke pekee kuwahi kuongoza Wizara ya Ulinzi

    Mh. Stergomena Tax anaweza akaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mwanamke pekee kuwahi kushika wizara nyeti ya Ulinzi. Baada ya kuondolewa hyo jana, ambapo amehudumu kwenye wizara hiyo kwa mwaka mmoja tu nafikiri Rais Samia ashaona kuna wizara sio za kufanya majaribio ya kuwaweka...
  13. BigTall

    Waziri Dkt. Stergomena afungua semina ya Wanawake, asisitiza washirikishwe katika amani na usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua Semina kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women Peace and Security Agenda) iliyofanyika tarehe 07 Juni, 2022 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Akihutubia washiriki wa Semina hiyo akiwa...
  14. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi Na JKT, Dkt Stergomena Tax akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi 2022/23 Bungeni

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX (MB), WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA...
  15. BigTall

    JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  16. Pdidy

    Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  17. Miss Zomboko

    Mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali waapishwa Ikulu, Dodoma

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mawaziri wateule wanne na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Mawaziri ni Dkt. Stergomena Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, January Makamba Waziri wa Nishati, Prof. Makame Mbarawa Waziri wa Ujenzi na Dkt...
  18. Requal

    Miaka yote nilijua Dkt. Stergomena Tax sio Mbongo

    Huyu mama nilikuwa namuona akiwa kiongozi SADC lakini miaka yote hiyo nilijuaga sio mbongo, Nimeshangaa kuona jina lake kwenye uteuzi leo. Au sio huyu wakulungwa?
  19. Father of All

    Uteuzi wa Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT ni mpango au njama za CCM?

    JUMANNE, AGOSTI 24, 2021 MAKALA Rais Samia tuteulie Waziri wa Ulinzi mwanamama Na Nkwazi Mhango KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa, wizara hiyo imebaki na pengo ambalo lazima lizibwe. Kwanza naomba nitumie fursa hii kutoa salamu za...
  20. The Assassin

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
Back
Top Bottom