steve nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Steve Nyerere uchawa umezidi kipimo!

    Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga. Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo...
  2. Haji Manara na Steve Nyerere zile Ngumi mlizopigana pale Serena Hotel Wiki Tatu sasa zimepita zilisababishwa na nini?

    Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
  3. Pre GE2025 Steve Nyerere akusanya wasanii na viongozi wa dini kugawa mitungi bure kwa wakina mama ili "kuunga mkono juhudi" za Samia

    Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii? Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba...
  4. Steve Nyerere: Acha nidhalilike kwa ajili ya ndugu zetu hawa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki na viti mwendo (wheelchairs) 100 kwa watu wenye uhitaji maalum, amesema; "Kuomba ni utumwa na udhalilishaji, lakini kwa ajili ya ndugu zetu hawa acha...
  5. Tuzo za Utalii: Kulikuwa na ulazima gani Steve Nyerere kuwakaribisha wageni kwa Kingereza?

  6. Pre GE2025 Steve Nyerere na kundi lake kutambuliwa kama "Protocol kutoka Ikulu" kwa Mwamposa ina maana gani? Steve ni 'Kitengo'?

    Wakuu, Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu? Wajuvi mkuje hapa.
  7. Pre GE2025 Steve Nyerere ampongeza Tundu Lissu kwa Uamuzi wa Kugombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa ‘Mama Ongea na Mwanao,’ Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, amempongeza Tundu Lissu kwa kutangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA, akisisitiza kuwa ni haki yake kikatiba mradi anazingatia miko na katiba ya chama. Kupitia ujumbe aliouandika...
  8. Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  9. Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

    Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani. Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!
  10. Steve Nyerere: Wasanii wa Bonge fleva hawajitokezi kwenye misiba

    Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva. Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba...
  11. Emma Lwaitama Nyerere: Kisababishi kilichojificha katika sakata la Madaraka na Steve Nyerere?

    Vyombo vya habari vya Tanzania vinaonekana kuifuta mipaka kati ya uandishi wa habari na hadithi za mitaani, kwa ku-copy na ku-paste kila habari wanayopata bila kuchimba zaidi kutafuta ukweli. Drama ya hivi karibuni inayowahusisha Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, na Steve Mengele...
  12. Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

    Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko. Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
  13. Pre GE2025 Raia wa Instagram wamjia juu Steve Nyerere kisa sakata la utekaji nchini

    Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema: Kauli ya Steve Nyerere inakuja muda mchache tangu kada wa Chadema, Ally Kibao kutekwa na kuuliwa huko Ununio Dar Es Salaam. Watu wengi walionekana kutopendezwa na kauli hii hasa katika kipindi...
  14. Steve Nyerere: Kikwete alinisisitiza nisome, niache kuuza Big G

    "Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua. Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza...
  15. Steve Nyerere: Hatuwezi kuingilia miamala ya nchi

  16. R

    Steve Nyerere Dubai, muendelezo wa Chawa wa Mama kujipanga kutetea DP World?

    Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
  17. Steve Nyerere arekebishe mindset kwanza ndipo aje kwenye Uislamu, asije na mindset hii aliyokuwa nayo

    habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki. Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini. Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
  18. Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

    Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
  19. Basata Yampiga Stop Steve Nyerere

    Baraza la Sanaa (BASATA) limesema kuwa Msemaji wa Shirikisho hilo aliyeteuliwa, Steven Mengere asianze kutekeleza majukumu yake hadi hapo itakapoamuliwa na Baraza hilo. BARUA YA BASATA KWA KATIBU MKUU (FID - Q) WA SHIKISHO LA MUZIKI Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu. Baraza la Sanaa la...
  20. Steve Nyerere kaidhalilisha CCM

    STEVE NYERERE KAKIDHALILISHA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), BUNGE na TUME YA UCHAGUZI WAOMBE RADHI Anaandika Reuben Mchome 0655331933. Kwani kuna wabunge waliopo Bungeni kwa VIMEMO? Kwani kuna wabunge waliopo Bungeni na ushindi wao ukiwa ni wa MASHAKA? Mshindi wa SITA kuongoza Jimbo (MBUNGE) ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…