Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema matukio ya utekaji nchini yameanza kuwa jambo la kawaida, akieleza kuwa yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Amesema ingawa waathirika wa matukio hayo pamoja na familia, marafiki na majirani zao huumia, bado...
Mchungaji Steven Kimondo amesema kuhamasisha amani bila kuwepo kwa haki ni sawa na kutengeneza kichaka cha kujificha ili maovu yaendelee kutendeka. Kwa mujibu wake, haki inapaswa kupewa kipaumbele ili kukabiliana na matukio ya utekaji na vifo pamoja na kulinda usalama wa wananchi.
Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.