steven kimondo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Tulidhani yaliyotokea Oktoba 29, yangekuwa mwisho, lakini baada ya hapo vitendo vya utekaji vinaendelea

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema matukio ya utekaji nchini yameanza kuwa jambo la kawaida, akieleza kuwa yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Amesema ingawa waathirika wa matukio hayo pamoja na familia, marafiki na majirani zao huumia, bado...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Kuhamasisha amani wakati haki haipo, ni kutengeneza kichaka cha kujificha ili tuendelee kutenda maovu

    Mchungaji Steven Kimondo amesema kuhamasisha amani bila kuwepo kwa haki ni sawa na kutengeneza kichaka cha kujificha ili maovu yaendelee kutendeka. Kwa mujibu wake, haki inapaswa kupewa kipaumbele ili kukabiliana na matukio ya utekaji na vifo pamoja na kulinda usalama wa wananchi. Soma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…