sticker

  1. Tate Mkuu

    Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

    Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
  2. stabilityman

    Mwenye uzoefu na biashara ya kubandika sticker kwenye pikipiki na magari

    Habari nina ofisi jilani na gereji ya pikipiki nimewaza kuwa nifungue ofisi ya kibandika sticker. Mwenye uzoefu naomba uje unipe moja mbili tatu
  3. Guru Master

    Anayeweza Tengeneza Maneno 3D au sticker za Chrome Metal

    Nahitaji mtu ambaye anaweza tengeneza maneno kwa umsmart kabisa ambayo yatakuwa 3D kama ambavyo watu walikuwa wanatengeneza number 3D. Mimi nahitaji maneno na font nitampatia Ama ambaye anaweza tengeneza stickers ambazo ni chrome metal. Please awasiliane nami kwa kuweka namba au kuni pm
  4. Masokotz

    Bar Code Sticker na Product Label kwa Ajili ya Bidhaa zako

    Habari za Wakati huu. Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali? Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea huduma ya Kuchapisha Bar Code Sticker na Label kwa ajili ya Bidhaa zako. Huduma hii itakuwezesha...
  5. Not_James_bond

    Kazi ya Sticker za usalama barabarani ni nini?

    Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini? Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi? Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
  6. Mlolongo

    Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  7. Boss la DP World

    Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

    Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All". Waumini wamenishambulia, nimeona nileft. Sijui...
  8. Matope

    Tafsiri ya Sticker za Walemavu kwenye vyombo vya Moto ni sawa?

    Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
  9. K

    CAG sasa ni wakati kukagua sticker za magari tunayouziwa

    Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?. Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa...
  10. Superfly

    Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

    Habari za muda huu wakuu, I hope mko poa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje? Yaani mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
  11. F

    Wazoefu wa Bima ya Magari: Je, ukinunua online sticker unafata wapi?

    Habari wadau.. Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking.. Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
Back
Top Bottom