Julius Nyerere Hydropower Station (JNHS; RHHP; Rufiji Hydroelectric Power Project; Stiegler's Gorge Dam) is a hydroelectric dam under construction across the Rufiji River in eastern Tanzania. Although controversial, the government approved the plans in 2018. The power station is expected to have an installed capacity of 2,115 megawatts (2,836,000 hp) and to produce 5,920GWh of power annually. The project, power station and dam are owned by and will be managed by the government owned Tanzania Electric Supply Company (TANESCO). Construction began in 2019 and is expected to be completed in 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Kangi Lugola amesema Bungeni siku ya Jumanne Mei 22 kuwa 'pepa' iliyoandaliwa na Prof. Raphael Mwalyosi kutoka IRA UDSM ya mwaka 2009 itatumika kama tathmini ya athari za kimazingira za ujenzi wa bwawa la Stiegler's.
Amesema, " Kwa...
Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous.
Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair...
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge).
Dkt. Kalemani aliyasema hayo...
Soma hoja za WWF hapa kwenye linki https://wwf.fi/mediabank/10039.pdf.
Je wewe uko upande upi na kwanini?
=======
WWF is one of the world’s largest and most experienced independentconservation organizations, with over 5 million supporters and aglobal network active in more than 100...
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's Gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni...
Takribani wazabuni 66 kutoka ndani na nje ya nchi wamejitokeza kununua Nyaraka za Zabuni za ujenzi wa mradi wa Umeme wa kiasi cha megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani hadi kufikia tarehe 19 Septemba, 2017.
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia...
Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous
HAMZA TEMBA - WMU
Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
JOHANNESBURG – The United Nations has called it one of Africa's biggest remaining wilderness areas. Now a dispute over a planned hydropower dam in Tanzania's Selous wildlife reserve pits the country's president against conservationists who say the project could cause irreparable damage to the...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maji, Umwagiliaji na Umeme wa Ethiopia Dkt. Seleshi Bekele na ujumbe kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo iliyopo nchini kusaidia mchakato wa ujenzi wa Dam (bwawa la kuzalisha umeme) la Steigler’s Gorge...
Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli...
Nimepata fursa ya kuandika haya Muda huu!
Nimekusikia Mh. JPM ukitangaza nia ya kujenga bwawa hilo kubwa la umeme. Kwakweli hilo ni jambo jema sana, na kwa namna ninavyokufahamu ukishatamka jambo kinachofata ni utekelezaji! Nataka nikuhakikishie kwamba wahandisi wa kitanzania hawajashindwa...
Hakuna sehemu yoyote duniani kwenye umeme wa bei rahisi kama umeme wa Maji (Hydroelectrity). Nchini mwetu Tanzania tumepata bahati ya kuwa na vyanzo vingi vya maji na maporomoko mengi ambayo tungeweza kuyatumia kuzalisha umeme. Baadhi ya maporomoko hayo tumwyatumia, mengine bado hatujayatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.